Friday, 17 May 2013

THE BRA BAG FOR HER..INTRODUCTION

HAYA JAMANI BRA BAG HIZO .. SPECIAL KWA KUWEKEA BRA.KWA WALE WANAOSAFIRI SAFIRI  BRA ZAKO WAWEZA ZIHIFADHI HUMU . HATA MATUMIZI YA NYUMBANI NDIO KABISAA. MAANA WANAWAKE NA MABINTI WENGI WANAKUWA NA BRA NYINGI TATIZO LINAKUJA KATIKA UTUNZAJI WAKE AMBAO NI PAMOJA NA JINSI YA KUZI HIFADHI. MIMI MWENYEWE MARA NYINGI HUANGAIKA ASUBUHU KUTAFUTA BRA AU PANTS ZIKO WAPI NA KAMA NDIO KABATI LA NGUO BASI NGUO ZOOTE ZITAVURUGWA KWAKUWA NAKUWA NA HARAKA YA KUWAHI. ILA BRA BAG INA RAHISISHA KILA KITU. ZIKIFULIWA ZINAHIFADHIWA MAHALA PAKE. 
HAYA BRA BAG HIZI ZINA UWEZO WA KUHIFADHI MPAKA BRA 10 HAPO NDANI. 

NIMEONA NIWAWEKE KATIKA MKAO WA KULA .KIZURI KULA NA MWENZIO NDIO AFYA HIYO
BY THE END OF THIS MONTH HIZI BRA BAGS MTAZIPATA VICKY LINGERIE KWA MARA YA KWANZA KABISAA TANZANIA UTAZIKUTA VICKY LINGERIE ZIKIWA KATIKA STYLE TOFAUTI TOFAUTI .
LA MSINGI USIACHE KUPITA HAPA NA HASWAA KWENYE DUKA .

1 comment: